Habari za Punde

Hali ya Utulivu Katika Mitaa ya Mji Mkongwe Baada ya kudhibiti Uingiaji wa Magari

Moja ya barabara iliodhibitiwa kuingia kwa magari ili kuondoa msongamano wa magari katika barabara za Mji Mkongwe Zanzibar ili kuweza kuutumza Mji Mkongwe wa Zanzibar kwa wageni wanaotembelea maeneo hayo kwa shughuli za Kitalii kuweza kutembea kwa usalama na amani hii ni barabara ya posta shangani ikiwa ni moja ya barabara zimetengwa kwa watembea kwa miguu. kuondoa msongamano wa magari katika barabara hiyo. na kufanywa barabara moja ya kuingilia eneo la vuga na kutokea barabara ya malindi One Way.  
Barabara ya shangani posta ikiwa katika hali ya utulivu baada ya kuwekewa alama ya kutoingia magari katika barabara hiyo na kutowa fursa kwa watembea kwa miguu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.