Habari za Punde

Makabidhiano ya Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji

Aliyekuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano Miundombinu Mhe Issa Haji Gagu kwa Sasa ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, akiwasili katika Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji kwa ajili ya kumkabidhi Waziri Mpya wa Wizara hiyo ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Balozi Ali Karume, huko Kisauni Unguja.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Issa Haji Ussi Gavu akizungumza na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Balozi Ali Karume, klabla ya kuaza kwa makabidhiano ya Nyaraka za Wizara hiyo hafla hiyo imefanyika katika Wizara hiyo huko Kisauni Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi Gavu na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Balozi Ali Karume wakielekea ukumbi wa mkutano kwa ajili ya makabidhiano ya Wizara hiyo.
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Dk Juma, Akili, akizungumza wakati wa makabidhiano ya Nyaraka za Wizara hiyo na Aliyekuwa Naibu Waziri Mhe Issa Haji Ussi Gavu hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Wizara hiyo huko Kisauni Zanzibar.

Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Balozi Ali Kurume akiwa na Nyaraka za Wizara hiyo baada ya Kukabidhiwa na Aliyekuwa Naibu Waziri wa Wizara hiyo iliokuwa Wizara ya Mawasiliano Miundombinu na Uchukuzi Mhe Issa Haji Ussi Gavu. kwa Sasa ni Waziri Kamili Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar.
Mhe Issa Haji Ussi Gavu akizungumza na Watendaji wa Wizara Mpya ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji baada ya kukabidhi Wizara hiyo kwa Waziri Husika Mhe Balozi Ali Karume, hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Wizara hiyo huko Kisauni Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.  
Wakuu wa Idara za Wizara ya Ujenzi Mawasiliani na Usafirishaji wakiwa katika hafla hiyo ya makabidhiano ya Wizara hiyo kwa Waziri husika Mhe Balozi Ali Karume.
Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Balozi Ali Karume akizungumza na Watendaji wa Idara za Wizara hiyo wakati wa hafla ya makabidhiano ya Wizara hiyo yaliofanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Wizara hiyo huko Kisauni Nje Kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Wakuu wa Idara za Wizara ya Ujenzi Mawasiliani na Usafirishaji wakiwa katika hafla hiyo ya makabidhiano ya Wizara hiyo kwa Waziri husika Mhe Balozi Ali Karume.
Wakuu wa Idara za Wizara ya Ujenzi Mawasiliani na Usafirishaji wakiwa katika hafla hiyo ya makabidhiano ya Wizara hiyo kwa Waziri husika Mhe Balozi Ali Karume.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.