Tuesday, April 19, 2016

Mkurugenzi Kamisheni ya Utalii akutana na wadau wa sekta ya Utalii Pemba
Mkurugenzi Masoko wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, Dk, Miraji Yakut, akizungumza na Wadau wa  Sekta ya Utalii huko katika ukumbi wa Ofisi ya Katiba na Sheria Kisiwani -Pemba.


Picha na Bakar Mussa-Pemba.