Wednesday, April 27, 2016

Wajasiriamali wa bidhaa ya mikoba Micheweni


WANAWAKE wenye kikundi cha ususi wa bidhaa kama mikoba, makawa na mikeka yanayotokana na ya ukindu, wakiwa kazini huko eneo la Micheweni mkoa wa kaskazini Pemba, (picha na Haji Nassor, Pemba)

No comments:
Write Maoni