Habari za Punde

Mkutano wa Bajeti wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Kuchangia Hutuba ya Bajeti.


Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakiwa katika Ukumbi wa Mkutano wakichangia Hutuba ya Bajeti ya Serikali.  
Wakuu wa Wizara za Serikali wakifuatilia michango inayotolewa na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakichangia Hutuba ya Bajeti ya Waziri wa Fedha aliouwakilisha katika Mkutano huo. 
Wakuu wa Wizara za Serikali wakifuatilia Michango wa Wajumbe wa Baraza. 
Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Mgeni akitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kuahirisha mkutano huo wa Bajeti iliowasilishwa na Waziri wa Fedha Zanzibar kwa mwaka 2016/2017, kwa michango iliowasilishwa na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. 
Mwakilishi wa Jimbo la Kwahani Zanzibar Mhe. Ali Salum kulia na Mwakilishi wa Jimbo la Chaani Zanzibar Mhe, Nadir Abdullatif wakitowa ka tika ukumbi wa mkutano baada ya kuahirishwa.
Mwakilishi wa Jimbo la Chaani Mhe. Nadir Abdullatif akiwa makini akimsikiliza Mwakilishi wa Kwahani Mhe Ali Salum wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano wa Baraza.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mwakilishi wa Jimbo la Mahonda Balozi Seif Ali Iddi akitoka katika ukumbi wa Baraza akibadilishana mawazo na Mwakilishi wa Kuteuliwa na Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe Balozi Amina Salum Ali.
Mwakilishi wa Jimbo la Mtoni Zanzibar Mhe Hussein Ibarahim Makungu (BHAA) akiwa na Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Nafasi za Wanawake wakitoka katika ukumbi wa Mkutano baada ya kuahirishwa
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Mwakilishi wa Kuteuliwa na Rais Mhe Said Soud Said, wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano. 
Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Uvuvi Mifugo na Maliasili Mhe Lulu Msham akimsikiliza Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi wakati wa mapumziko ya mchana.
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said (katikati) akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Zanzibar Ndg. Khamis Mussa. 
Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar Mhe. Nassor Salum Jazira, akimsikiliza Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said. wakiwa katika viwanja vya Baraza Chukwani Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.