Sunday, June 5, 2016

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Atoa Tamko Kuhusu Siku ya Mazingira Duniani leo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitoa Tamko kuhusu siku ya Mazingira Duniani kwa Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya Habari.                      
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingiza baada ya kutoa Tamko kuhusu siku ya Mazingira Duniani kwa  Waandishi wa vyombo mbalimbali vya Habari leo Juni 05,2016. (Picha na OMR)