Habari za Punde

PBZ na BOT Zaadhimisha Miaka 50 ya Benki zao kwa Mchezo wa Kirafiki kuadhimisha Sherehe hizo Mchezo uliofanyika Usiku Uwanja wa Amaan Zanzibar.


Kikosi cha Timu ya Benk ya Watu wa Zanzibar PBZ wakiwa na Mkurugenzi wao Ndg Juma Ameir Hafidh , wakati wa mchezo wao wa kusherehekea miaka 50 ya kuazishwa PBZ Zanzibar, Uliofanyika katika uwanja wa Amaan Zanzibar kwa mchezo wao na Timu ya Benk Kuu ya Tanzania. 
Kikosi cha Benk ya Watu wa Za nzibar kilichotowa upinzani kwa Timu ya Benk Kuu ya Tanzania mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar. 
Kikosi cha Timu ya Benk Kuu ya Tanzania kilichopambana na Timu ya PBZ katika mchezo uliofanyika usiku Uwanja wa Amaan Zanzibar. Benk hizo zote zikitimiza miaka 50 ya Benk zao tangu kuazishwa kwao. 
Mkurugenzi Mkuu wa Benk ya Watu wa Zanzibar PBZ Ndg Juma Ameir Hafidh akizungumza na benchi la Timu ya Ufundi ya Benki Kuu ya Tanzania mchezo uliofanyika usiku uwanja wa Amaan Zanzibar.
Benchi la Ufundi la Timu ya Benk Kuu ya Tanzania wakifuatilia mchezo wao wa kusherehekea miaka 50 ya Bank zao mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Wachezaji wa Akiba wa Timu ya Benk ya Watu wa Zanzibar wakifuatilia mchezo wao na Timu ya BOT uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar. 
Benchi la Ufundi la Timu ya PBZ wakifuatilia mchezo wao wa kirafiki na Timu ya BOT kusherehekea miaka 50 ya PBZ.  


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.