Habari za Punde

Upakiaji wa Mizigo Kupita Kiasa na Kuhatarisha Usalama.

Gari ya mizigo katika manispa ya Zenj ikiwa imechukua mizigo kupita uwezo wake na kusababisha mfanyakazi wa gari hiyo kukaa juu ya mizigo hiyo na kutojali madhara yake kama anavyoonekana pichani akiwa kaka juu ya mizigo hiyo huku gari hiyo ikiendelea na safari yake katika barabara ya kwa mchina.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.