Habari za Punde

Mradi wa Uchimbaji wa Mitaro ya Maji Katuika Manuispa ya Zanzibar

Vibarua wa Kampuni inayojenga Mitaro ya Maji Machafu katika Mradi huo wakiendeldea na uchimbaji huo katika eneo la kijangwani Unguja ikiwa ni mmoja linalipota athari wakati wa mvua ikinyesha katika Visiwa vya Unguja. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.