Kipindi cha karibu na Sikukuu barabara ya darajani na maeneo hayo huwa na msongamano wa watu na magari kuifanya sehemu hiyo kuwa ndogo kila mtu hufika katika eneo hilo kujitafutia mahitaji kwa ajili ya maakuli ya sikukuu Kama inavuoonekana picha wananchi wakiwa katika pirikapirika hiyo leo asubuhi na kuifanya sehemu hiyo kuonekana ndogo kwa wingi wa Wananchi wa Zanzibar.
KILI FAIR 2025 YAJIPAMBANUA KIMATAIFA.
-
* Na Jane Edward, Arusha *
*Maandalizi ya Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii (KILIFAIR 2025) yanaendelea
kwa kasi, huku tukio hilo kubwa likitarajiwa ku...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment