Habari za Punde

Ligi Daraja la Pili Taifa Nane Bora Kati ya Uhamiaji na Milimani Uwanja wa Amaan Unguja Timu ya Uhamiaji Imeshinda 2--0.

Wachezaji wa Timu ya Uhamiaji na Milimani wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Daraja la Pili Taifa Nane Bora mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Uhamiaji imeshinda 2--0. 
Beki wa timu ya Milimani mweye jezi bluu akimiliki mpira huku mchezaji wa timu ya Uhamiaji akijiandaa kuchukua mpira huo wakati wa mchezo wao wa Nane Bora Ligi Daraja la Pili uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Uhaniaji imeshinda bao 2--0.
 Mshambuliaji wa timu ya Uhamiaji akimpita beki wa timu ya Milimani.
Kocha wa Timu ya Milimani Seif Bausi akiwa hatulii katika benchi akifuatilia wachezaji wake kuweza kucheza vizuri ili kuweza kurejesha mabao waliofungwa na timu ya Uhamiaji wakati wa Mchezo wao wa Nane Bora Ligi Daraja la Pili Taifa mchezo uliofanyika uwanja wa amaan timu ya Uhamiaji imeshinda 2--0.
 Beki wa Timu ya Milimani akiokoa mpira akiwa chini 
Kipa wa timu ya Milimani akidaka mpira huo huku mshambuliaji wa timu ya Uhamiaji akiwa tayari kutowa madhara.
 Mshambuliaji wa timu ya Uhamiaji akiwapita wachezaji wa timu ya Milimani.
Wachezaji wa Timu ya Uhamiaji na Milimani wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Nane Bora Ligi Daraja la Pili Taifa mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Uhamiaji imeshinda 2--0.
 Kipa wa timu ya Milimani akiokoa moja ya hatari golini kwake wakati wa mchezo huo.
Mashabiki wa mchezo wa Soko Zanzibar wakifuatilia mchezo huo kati ya Uhamiaji na Milimani uliofanyika uwanja wa amaan Zanzibar.
Beki wa Timu ya Uhamiaji akiokoa mpira huku mchezaji wa timu ya Milimani akijiandaa kumnyanganya mpira huo wakati wa mchezo wa ufunguzi wa Nane Bora Daraja la Pili Taifa mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Uhamiaji imeshinda 2--0.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.