Habari za Punde

Idara ya Diaspora Zanzibar Yatowa Semina kwa Masheha Zanzibar

Afisa wa Idara ya Diaspora Zanzibar Ndg Ameir Haji,akitowa mada kuhusiana na Faida ya Wazanzibar Wanaoishi Nje ya Nchi maarufu kwa jina la Diaspora, wakati wa semina hiyo ilioandaliwa na Idara ya Diaspora Zanzibar kwa Masheha wa Mkoa wa Mjini Unguja iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Mnazi Mmoja. Ilifunguliwa na Mkuu wa Wilaya ya Mjini Mhe Marina Thomas. 
Afisa wa Idara ya Diaspora Zanzibar akisisitiza jamba wakati wa semina hiyo kutowa faida ya Diaspora ilioandaliwa na Idara hiyo na kuwashirikisha Masheha wa mbalimbali wa Mkoa wa Mjini Unguja.

Masheha wa Mkoa wa Mjini wakifuatilia semina hiyo ya Faida ya Diaspora. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.