Habari za Punde

Nane Bora Kuendelea Zenj

NANE BORA KUENDELEA KESHO ZENJ

Ligi kuu ya soka Zanzibar hatua ya nane bora itaendelea tena kesho kwa michezo miwili kwenye dimba la Amaan.

Saa kumi alasiri vinara wa ligi KVZ wataumana na Zimamoto na baadae Mafunzo wataumana na JKU.

Huu hapa msimamo wa ligi kabla ya mechi za kesho

SUPER EIGHT PREMIER LEAGUE ZANZIBAR  2015-2016
POS
TIMU
P
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
1
KVZ
4
3
1
-
7
2
5
10
2
ZIMAMOTO
4
2
2
-
7
3
4
8
3
JAMHURI
5
2
2
1
8
5
3
8
4
JKU
4
2
1
1
8
4
4
7
5
CHIPUKIZI
4
2
-
2
6
5
1
6
6
MAFUNZO
4
1
1
2
4
6
-2
4
7
MWENGE
3
-
1
2
3
8
-5
1
8
AFR/KIVUMBI
4
-
-
4
3
13
-10
-

Jumla ya mabao 46 yamefungwa kupitia michezo 16 ambayo imeshachezwa


Wafungaji:

Emmanuel Martin       4  JKU

Hakim Khamis            4  Zimamoto

Suleiman Hassan       3 KVZ

Mwalim Moh’d            3 Jamhuri

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.