MATANGAZO MADOGO MADOGO

Wednesday, July 20, 2016

Rais wa Zanzibar Dk Shein, Akutana na Ujumbe wa Kampuni ya Huawei Ikulu Zanzibar leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Huawei Bw.Bruce Zhang wakati alipofika Ikulu na ujumbe wake leo kwa mazungumzo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Huawei Bw.Bruce Zhang wakati alipofika Ikulu na ujumbe wake leo kwa mazungumzo,[Picha na Ikulu.] 20/07/2016.