Habari za Punde

Uongozi wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Wamzawadia Zawadi Mwenyekiti Mstaaf wa CCM Dk Jakaya Kikwete.

Mwenyekiti Mstaaf wa CCM Taifa Dk Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Viongozi wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja katika viwanja vya Ikulu Mjini Dodoma wiki iliopita wakati walipofika kumkabidhi zawadi mbalimbali kwa Uongozi wake bora katika Chama cha Mapinduzi katika kipindi chake chote akiwa Kiongozi.
Mwenyekiti Mstaaf wa CCM Taifa Dk Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Viongozi wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja katika viwanja vya Ikulu Mjini Dodoma wiki iliopita wakati walipofika kumkabidhi zawadi mbalimbali kwa Uongozi wake bora katika Chama cha Mapinduzi katika kipindi chake chote akiwa Kiongozi.
Mwenyekiti Mstaaf wa CCM Taifa Dk Jakaya Mrisho Kikwete na Maka Salma Kikwete wakisalimiana na Wajumbe wa Uongozi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja uliofika kukabidhi zawadi zao kwa Mwenyekiti Mstaaf katika viwanja vya Ikulu Ndogo Dodoma wiki iliopita
Mwenyekiti Mstaaf wa CCM Taifa Dk Jakaya Mrisho Kikwete na Maka Salma Kikwete wakisalimiana na Wajumbe wa Uongozi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja uliofika kukabidhi zawadi zao kwa Mwenyekiti Mstaaf katika viwanja vya Ikulu Ndogo Dodoma wiki iliopita
Mwenyekiti Mstaaf wa CCM Taifa Dk Jakaya Mrisho Kikwete na Maka Salma Kikwete wakisalimiana na Wajumbe wa Uongozi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja uliofika kukabidhi zawadi zao kwa Mwenyekiti Mstaaf katika viwanja vya Ikulu Ndogo Dodoma wiki iliopita .
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja Mzee Ramadhani akiutambulisha Ujumbe wa Uongozi wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja kwa Mwenyekiti Mstaaf wa CCM Taifa walipofika kukabidhi zawadi zao kwa Mwenyekiti Mstaaf wa CCM Dk Kikwete Mjini Dodoma wiki iliopita baada ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Kumchagua Mwenyekiti Mpya baada ya kujiuzulu kwa Dk Kikwete.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kati Unguja Ndg Hassan Mrisho akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar Mwenyekiti Mstaaf wa CCM Taifa Dk Jakaya Mrisho Kikwete.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kati Unguja Ndg Hassan Mrisho, akitowa maelezo kabla ya kumkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar Mwenyekiti Mstaaf wa CCM Taifa Dk Jakaya Mrisho Kikwete. Hafla hiyo imefanyika Mjini Dodoma Ikulu Ndogo Kilimani  
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kati Unguja Ndg. Hassan Mrisho akimkabidhi zawadi ya Mkoba wa ukili Mama Salma Kikwete. 
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kusini Unguja Ndg. Haji akimkabidhi kopiya ya kiua Mwenyekiti Mstaaf wa CCM Taifa Dk Jakaya Mrisho Kikwete. kushoto Mwenyekiti wa CCM MKoa wa Kusini Unguja Mzee Ramadhan.
 Mwenyekiti Mstaaf wa CCM Taifa Dk Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja wakiwa katika viwanja vya Ikulu Dodoma Kilimani, kulia ni MamaSalma Kikwete wkiwa na wageni wao.   
Mwenyekiti Mstaaf wa CCM Taifa Dk Jakaya Kikwete akiwa na wageni wake waliofika kumuona na kumkabidhi zawadi mbalimbali mjini Dodoma Ikulu Ndogo ya Kilimani Dodama wiki iliopita.
Mwenyekiti Mstaa wa CCM Taifa Dk Jakaya Mrisho Kikwete akimuangalia Ngombe wa Maziwa aliokabidhi zawadi yake na Uongozi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusinu Unguja kwa utumishi wake katika Chama cha Mapinduzi kwa muda mrefu.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja Mzee Ramadhan akimkabidhi zawadi ya Ngombe wa Maziwa Mwenyekiti Mstaa wa CCM Taifa Dk Jakaya Kikwete, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Kilmani Mjini Dodoma.
Mwenyekiti Mstaa wa CCM Taifa Dk Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wageni wake Ujumbe wa Chama cha Mapinduzi kutoka Mkoa wa Kusini Unguja ukiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Mzee Ramadhan. mwenye koti jeusi.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja Mzee Ramadhani akitowa shukrani kwa Mwenyekiti Mstaaf wa CCM Dk Jakaya Kikwete wakati wa ujumbe wa Mkoa wake kumtembelea na kumkabidhi zawadi zao  

Mwenyekiti Mstaaf wa CCM Taifa Dk Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja walipofika kumkabidhi zawadi katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mjini Dodoma hivi karibu wakati wa mkutano MKuu Maalum wa CCM kumchagua Mwenyekiti Mpya wa CCM Taifa Dk John Pombe Magufuli, wiki iliopita. 

Makamu Mwenyekiti Mstaaf wa CCM Taifa Dk Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja wakati walipofika kumzawadia Mhe Kikwete Mjini Dodoma Ikulu ndogo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.