Habari za Punde

Watalii Wakiwa katika Matembezi yao Mji Mkongwe Zenj.

Watalii kutoka nje wakiwa katika mitaa ya Mji Mkongwe wakisoma ramani ya Mji wa Zanzibar ili kuwawezesha kufika katika maeneo hayo ya historia ya Zanzibar wakiwa katika mtaa wa Shangani Unguja Wilaya ya Mjini Unguja jana. 

Watalii wengi hutumia ramani na waongoza watalii kufika sehemu husika walizokusudia kutembelea katika Visiwa vya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.