Habari za Punde

Wilaya ya Chake Yapata Wafanya Uchaguzi wa Viongozi hao.

Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Salama Mbarouk Khatib, akifunguwa Mkutano mkuu wa Baraza la Vijana Taifa, Wilaya ya Chake Chake huko katika ukumbi wa Ofisi ya mkuu wa mkoa wa Kusini Pemba. 
Mgombea Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Vijana Wilaya ya Chake Chake, Bakar Hamad Bakar, akiomba kura kwa Wajumbe wa mkutano huo. 


Mgombea Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Vijana Wilaya ya Chake Chake, Bakar Hamad Bakar, akiomba kura kwa Wajumbe wa mkutano huo.Wajumbe wa mkutano mkuu wa Baraza la Taifa la Vijana Wilaya ya Chake Chake Pemba, wakipiga kura zao ili kupata viongozi watakao waongoza kwa muda wa miaka 3 ijayyo
Viongozi wa Kamati ya uchaguzi ya Baraza la Taifa la Vijana Zanzibar, wakiwa katika picha ya pamoja.

Picha na bakar Mussa -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.