Habari za Punde

Wizara ya Biashara Zanzibar Yafanya Msako wa Kukagua Mezani na Mawe ya Mezani Shehia ya Rahaleo

Afisa wa Idara ya Ukaguzi Vipimo na Mizani wa Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Ndg Juma Khamis akiwa katika ziezi la kukagua mezani na mawe ya mezani katika Wilaya ya Mjini Shehia ya Rahaleo kuhakiki mezani hizo kama ziko sawa wakati wa matumizi yake kwa wafanyabiasha katika maduka yao wakiwahudumia wateja wanapofika kupata bidhaa kwa kupitia kipimo cha mizani. 
 Afisa wa Idara ya Vipimo Wiazra ya Biashara Zanzibar akiweka alama ya muhuri moja ya mawe ya mezani baada ya kuyakagua na kuridhika kwa yanakwena na kipimo kilichukusudiwa.
Mfanyabiashara katika Shehia ya Rahaleo Wilaya ya Mjini Unguja akiwa na mezani yake baada ya kukaguliwa na Maofisa wa Idara ya Vipimo na Mezani wa Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar kuona kama mizani hiyo iki sawa wakati wa kutowa huduma ya kuwapimia wateja wake, katika ukaguzi huo wamegundua moja ya jiwe lake la kupimia lilikuwa limezidi kupita kila stahiki ya jiwe hilo. Katika zoezi hilo Idara hiyo imepiga marufuku matumizi ya mezani za saa na kutowa maelezio mezani hizo hastahili kutrumika katika maduka ya kupimia vyakula na bidhaa nyengine maalumu yake ni matumizi ya nyumbani tu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.