Afisa Mdhamini Wizara
ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Pemba, Ndg.Hamad Ahmed Baucha
akizungumza na Madereva, Makondakta na wamiliki wa magari ya abiria na mizigo
Mkoa wa Kusini Pemba, Mkutano huo mkuu wa mwaka uliofanyika Madungu Maandalizi.
Mmoja wa Madereva wa
gari za mizigo Mkoa wa kusini Pemba, akichangia katika mkutano mkuu wa mwaka wa
jumuiya yao ya PESTA, mkutano huo uliofanyika katika skuli ya Maandalizi Mdungu
Chake Chake
Madevera Makondakta
na wamiliki wa gari za abiria na mizigo Mkoa wa Kusini Pemba, wakiwa katika
mkutano wa pamoja wa Jumuiya ya Madereva PESTA, wakifuatilia kwa
makini hutuba ya mgeni rasmi Afisa Mdhamini Wizara ya Mawasiliano Ujenzi na Usafirishaji Pemba, Hamad Ahmed Baucha huko Madungu Maandalizi
(Picha na Abdi Suleiman. Pemba)
No comments:
Post a Comment