Saturday, August 13, 2016

Ajali ya Gari Katika Barabara ya Michenzani

Wananchi wakiangalia ajali ya mpanda vespa na gari ndogo iliyotokea katika makutano ya barabara ya Michenzani na kwenda gogoni, katika ajali hiyo mpanda vespa amepata majaraha na kukimbizwa hospitali ya mnazi mmoja kwa matibabu. Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo wamesema mpanda vespa akitokea maisara kuelekea michezani raundi abauti. No comments:
Write Maoni