Habari za Punde

MAMLAKA YA USIMAMIZI MAZINGIRA TANZANIA (ZEMA) YAWAPATIA SEMINA WADAU JUU YA KUONGEZA MUAMKO WA TATHMINI YA ATHARI ZA KIMAZINGIRA ZANZIBAR.

Mkurugenzi Mamlaka ya Usimamizi Mazingira Zanzibar (ZEMA) Sheha Mjaja Juma, akimkaribisha Mgeni rasmi kufungua Semina ya siku mbili juu ya kuongeza muamko wa Tathimini za athari za kimazingira  uliofanyika katika  Hoteli ya Zanzibar Ocean View.
 Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira Ali Khalil Mirza, akifungua Mkutano wa siku mbili juu ya kuongeza muamko wa Tathimini za athari za kimazingira uliofanyika katika  Hoteli ya Zanzibar Ocean View.
Wadau wa Mkutano wa Tathimini za athari za kimazingira wakisikiliza hutuba ya Mgeni rasmi.
Mwakilishi Kutoka Ubalozi wa  Uholanzi Nchini Tanzania, Ineke Steinhauer akitoa Tathmini ya athari za Kimazingira katika Mkutano  uiliofanyika katika 
 Hoteli ya Zanzibar Ocean  
 MWAKILISHI Kutoka Idara ya Maji  Rukia Rashid akichangia Mada katikaka Mkutano huo.
 MWAKILISHI Kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar Ramadhan Kombo Ali, akitaka ufafanuzi katika mkutano wa huo.
 Mkurugenzi Mamlaka ya Usimamizi Mazingira Tanzania (NAMC) Fadhila Hemed akitoa majumuisho katika Mkutano wa kuwaongezea Muamko Wadau juu ya Tathmini ya Athari za Kimazingira.
Washiriki wa Mkutano huo wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmin baada ya ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.(Picha na Abdalla Omar – Habari - Maelezo Zanzibar)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.