MWALIMU Haji Ali Shaali kutoka Mkanyangeni, akijibu
swali aliloulizwa kwa lugha ya kiarabu, katika mashindano ya kuzungumza kiarabu
yaliyoandaliwa na taasisi ya Samail Academy iliyopo Gombani Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKURUGENZI mkuu wa Taasisi ya Samail Academy Shekh
Said Abdalla Nassir, akisoma ripoti ya utendaji wa taasisi hiyo wakati wa
mashindano ya uhamasishaji wa lugha ya kiarabu kwa walimu wa vyuo vya kiarabu
vinavyosimamiwa na taasisi hiyo.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKAGUZI wa Elimu kutoka Wizara ya Elimu na Mfunzo ya
Amali Pemba, Mwalimu Amour Rashid Aliy akizungumza na walimu wa vyuo vya Qur-an
vilivyopo chini ya Taasisi ya Samail Academy Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment