WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar
Mhe:Riziki Pembe Juma, akiangalia moja ya maonyesho yanayoonyesha vitu vya
baharini, vinavyotumika kuwafundishia wanafunzi wa skuli za maandalizi Kisiwani
Pemba, wakati wa mahafali ya kuwatunuku vyeti wahitimu wa mafunzo ya awali ya
Maandalizi.(Picha na Hanifa Salim,
PEMBA.)
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar
Mhe:Riziki Pembe Juma, akiangalia moja ya mabuku ya wanafunzi wa skuli ya
maandalaizi, wakati wa mahafali ya kuwatunuku vyeti wahitimu wa mafunzo ya
awali ya Maandalizi.(Picha na Hanifa
Salim, PEMBA.)
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar
Mhe:Riziki Pembe Juma, akiangalia moja ya miongozo ya kuwafundishia wanafunzi
wa skuli za maandalizi wakati wa mahafali ya kuwatunuku vyeti wahitimu wa
mafunzo ya awali ya Maandalizi.(Picha na
Hanifa Salim, PEMBA.)
MKUFUNZI wa walimu wa skuli za maandalizi katika
chuo cha Benjamini Mkapa mchanga mdogo Wete, Leiyla Ahmed akimfahamisha jinsi ya
miongozo ya kuwafundishia wanafunzi, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali
Zanzibar Mhe:Riziki Pembe Juma, wakati wa mahafali ya kuwatunuku vyeti wahitimu wa mafunzo ya awali ya Maandalizi.(Picha na Hanifa Salim, PEMBA.)
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar
Mhe:Riziki Pembe Juma, akiangalia moja vitu vinavyotengenezwa na walimu kwa
ajili ya kuwafundishia wanafunzi wa skuli za maandalizi kisiwani Pemba, wakati
wa mahafali ya kuwatunuku vyeti wahitimu wa mafunzo ya awali ya maandalizi.(Picha na Hanifa Salim, PEMBA.)
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali
Zanzibar:Mhe:Riziki Pembe Juma, akikamata moja ya majembe yaliyotengenezwa kwa
makaratasi kwa ajili ya kuwafundishiwa wanafunzi wa skuli za maandalizi
Kisiwani Pemba, wakati akiangalia maonyesho ya vifaa vya kufundishia wanafunzi
hao, katika mahafali ya kuwatunuku vyeti wahitimu wa mafunzo ya awali ya
maandalizi.(Picha na Hanifa Salim,
PEMBA.)
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe:Riziki
Pembe Juma, akikamata moja ya ndizi iliyotengenezwa kwa makaratasi kwa ajili ya
kuwafundishiwa wanafunzi wa skuli za maandalizi Kisiwani Pemba, wakati
akiangalia maonyesho ya vifaa vya kufundishia wanafunzi hao, katika mahafali ya
kuwatunuku vyeti wahitimu wa mafunzo ya awali ya maandalizi.(Picha na Hanifa Salim, PEMBA.)
WANAFUNZI wa Skuli za maandalizi Kisiwani Pemba,
wakiimba nyimbo ya kumkaribisha Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar
Mhe:Riziki Pembe Juma, wakati akiwasili katika mahafali ya kuwatunuku vyeti
wahitimu wa mafunzo ya awali ya maandalzi.(Picha
na Hanifa Salim, PEMBA.)
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar
Mhe:Riziki Pembe Juma, akimkabidhi cheti mmoja wa wahitimu waliotunukiwa vyeti
katika mahafali ya mfunzo ya awali ya maandalizi Kisiwani Pemba.(Picha na Hanifa Salim, PEMBA.)
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar
Mhe:Riziki Pembe Juma, akizungumza na wahitimu wa mafunzo ya awali ya
maandalizi Kisiwani Pemba.(Picha na
Hanifa Salim, PEMBA.)
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar
Mhe:Riziki Pembe Juma, akiwakabidhi bahasha wanafunzi wa skuli ya maandalizi
Kisiwani Pemba, baada ya kuimba moja ya nyimbo wakati wa mahafali ya kuwatunuku
vyeti wahitimu wa mafunzo ya awali ya maandalizi.(Picha na Hanifa Salim, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment