Habari za Punde

Sheikh Kishk kufanya Mihadhara ZanzibarSheikh Nurdin Kishk atafanya mihadhara katika visiwa vya  Zanzibar.    

Alkhamis tarehe 25/08/2016 atakuwepo msikiti wa Msumbiji Amani.
 
Ijumaa tarehe 26/08/2016 atatoa hotuba msikiti wa Sheikh Othman Maalim kwa Mchina Mwanzo. 

Usiku atakuwepo Kikwajuni msikiti wa Al Marhoom Sheikh Nassor Bacho baada ya sala ya  Magharibi.

Siku ya Jumamosi tarehe 27/08/2016 atatoa Muhadhara wa wanawake saa mbili 2 asubuhi ukumbi wa Haile sella sie..  

Unaombwa uwaarifu na wengine . 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.