Habari za Punde

Profesa Muhongo Azindua Mpango Mkubwa wa Kuendelea Usambazaji Umeme Vijiji Vyote Tanzania.Wenye Thamani ya Dola 1,367


Waziri wa Nishati na Madini, Mh. Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) akizungumza jambo wakati akizindua mpango mkubwa wa kuendeleza usambazaji umeme vijijini hapa nchini (Treep), kwenye kijiji cha Kwedizinga, wilayani Handeni mkoa wa Tanga agosti 15, 2016. kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Burundi, Malawai na Somalia, Bella Bird (PICHA NA MARGRETH SUBI)


Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Burundi, Malawai na Somalia, Bella Bird, (kushoto waliokaa) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa wa Mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini (REA), Mhandisi Gessima Nyamo’hanga, wakisaini makata wa makubaliano ya utekelezaji wa mpango huo wa TREEP, mbele ya Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Mhongo kwenye hafla iliyokwenda sambamba na uzinduzi wa mpango huo.

<!--[if gte mso 9]>

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.