Thursday, August 18, 2016

Waziri Castico aendelea na ziara yake Pemba, atembelea kikundi cha vijana wa Utandawazi Chokocho


WAZIRI wa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Zanzibar, Mhe:Maudline Cyrus Castico, akiangalia mabilingani yaliyolimwa na wanakikundi cha Vijana wa Utandawazi Chokocho, wakati alipofanya ziara ya kutembelea kikundi hicho kwenye ziara yake ya Siku mbili Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)