Thursday, August 18, 2016

Maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Fuoni

 Umalizwaji wa hatua za mwisho wa barabara itokayo kwerekwe makaburini to fuoni pilisi ambayo ina kilometa 4 inayojengwa na Wizara ya Mawasiliano na Miundombinu chini ya hifadhi ya barabara(Ubb) ambayo ujenzi wake ulianza mwaka jana mwezi wa 11. 

Hatua hii kitaalamu inaitwa Prayer coat ambapo gari moja linaweza kuchukuwa lita 9000 za rojo la lami kwa kilomita 1