Habari za Punde

Kampuni ya Simu ya ZANTEL Yafikia Kilele cha Promosheni ya Jibwage na Mbuzi kwa Kuwazawadia Wateja Wake Walioshiriki Promosheni Hiyo Jumla ya Mbuzi 250 Unguja na Pemba.

Mbuzi wanaosubiri kuchukuliwa na wateja waliopata ushindi wa promosheni ya jibwage na mbuzi.
Mkuu wa Zantel Zanzibar, Mohamed Mussa Baucha(wa pili kulia) akikabidhi mbuzi kwa washindi wa promosheni ya jibwage na mbuzi.Kulia kwenda kushoto ni Abdalla Yussuf, Arafa Mohamed Dadi na Abrahman Mohamed Abdalla. 
 Mkurugenzi wa mauzo wa Zantel, Ibrahim Attas (kulia) akikabidhi mbuzi kwa mshindi, Aly Rashid jana.
Meneja mauzo wa Zanztel, Yussuf Ismail (kulia) akikabidhi mbuzi wa mshindi, Hemed Ali Omar jana.
Picha zote na Martin Kabemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.