Habari za Punde

Maafisa ZLSC watembelea Mahakama za Haki za binadamu Arusha


Baadhi ya Maafisa wa Mipango wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC kutoka Unguja na Pemba, wakiwa kwenye ziara ya wiki moja Mkoa wa Arusha  wakitembelea  Mahakama ya ya Afrika  ya haki za binadamu na haki za watu, mahakama ya Afrika Mashariki, Bunge la Afrika mashariki mnamo tarehe 5 hadi 11 sept. 2016 (PICHA KWA HISANI YA ZLSC PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.