Habari za Punde

Waziri wa Fedha akagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Baraza la mji ChakechakeWaziri wa Fedha na Mipango, Mhe Khalid Salum Mohammed akiangalia na kupokea taarifa za ujenzi wa Ofisi ya Baraza la mji Chakechkae Pemba wakati alipotemnbelea jengo hili. Picha na Haji Nassor , Pemba

1 comment:

  1. sasa mumeamua kuwajengea wapemba kwa bakora mumeona hawafahamu?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.