MWANASHERIA kutoka Tume ya Marekebisho ya sheria
Zanzibar, Khamis Mwita Haji, akiwasilisha sheria ya manunuzi ya vitu vya
kawaida, katika mkutano na wadau mbali mbali juu ya kufanyiwa marekebisho kwa
sheria mbali mbali hapa Zanzibar.(Picha
na Abdi Suleiman, Pemba.)
MWENYEKITI wa timu ya Kurekebisha sheria Zanzibar,
Jaji Mshibe Ali Bakari, akitoa ufafanuzi wa sheria mbali mbali katika mkutano
na wadau mbali mbali juu ya kufanyiwa marekebisho kwa sheria mbali mbali hapa
Zanzibar.(Picha na Abdi Suleiman,
Pemba.)
No comments:
Post a Comment