Habari za Punde

Rais Dk Magufuli atoa pole nyumbani kwa Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitambulishwa kwa Bw. Mustapha Aboud Jumbe na Rajabu Aboud Jumbe alipokwenda kutoa mkono wa pole kwa familia ya Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi nyumbani kwao Migombani Zanzibar mjini leo Septemba 3, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimu wanafamilia alipokwenda kutoa mkono wa pole nyumbani kwa Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi nyumbani kwao Migombani Zanzibar mjini leo Septemba 3, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka sahihi kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa mkono wa pole nyumbani kwa Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi nyumbani kwao Migombani Zanzibar mjini leo Septemba 3, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akielekezwa jambo na Rajabu Aboud Jumbe alipokwenda kutoa mkono wa pole nyumbani kwa Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi nyumbani kwao Migombani Zanzibar mjini leo Septemba 3, 2016. Nyuma yao ni Mama Janeth Magufuli na wanafamilia wa Mzee Jumbe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka shada la maua kaburini na kutoa heshima zake alipokwenda kutoa mkono wa pole nyumbani kwa Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi Migombani Zanzibar mjini leo Septemba 3, 2016.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na ujumbe wake wakishiriki dua alipokwenda kutoa mkono wa pole nyumbani kwa Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi nyumbani kwao Migombani Zanzibar mjini leo Septemba 3, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga baada ya kutoa mkono wa pole nyumbani kwa Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi nyumbani kwao Migombani Zanzibar mjini leo Septemba 3, 2016


                                                                                                      PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.