Habari za Punde

Rais Dk.Shein akutana na Madaktari Bingwa wa Upasuaji

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Rais wa Taasisi ya Mendeleo ya Elimu inayohusiana na Mishipa ya fahamu,Uti wa Mgongo na Vichwa maji (NED) Dk.Jose Picer akiwa na Makamo wa Rais wa taasisi hiyo Dk.Mohamed Qureish walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 24/09/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Rais wa Taasisi ya Mendeleo ya Elimu inayohusiana na Mishipa ya fahamu,Uti wa Mgongo na Vichwa maji (NED) Dk.Jose Picer  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 24/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Rais wa Taasisi ya Mendeleo ya Elimu inayohusiana na Mishipa ya fahamu, Uti wa Mgongo na Vichwa maji (NED) Dk.Jose Picer (katikati) akiwa na Makamo wa Rais wa taasisi hiyo, Dk.Mohamed Qureish (kushoto) walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 24/09/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.