MATANGAZO MADOGO MADOGO

Saturday, September 24, 2016

Waziri Haji Omar Kheri afanya ziara ya kushtukiza soko la Saateni

Waziri wa nchi Afisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa ( TAMISEMI) Mhe Haji Omar Kheri (mwenye kanzu) alifanya ziara ya kushtukiza katika soko la wauza mitumba Saateni ili kuwasikiliza wafanya biashara na na kutataua baadhi ya kero zilizojitokeza. Waziri aliambatana na Mwakilishi wa Jimbo la Jang'ombe, Abdallah Maulid Diwani (CCM)  aliyevaa koti na Mkurgenzi wa Baraza ka Manispaa, Aboud Hassan Serege kushoto