Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Jangombe Boys na Chwaka Stars Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu hizo zimetoka sare ya 1--1


Mbunge wa Jimbo la Mpendae Mhe Salim Turky na Mwakilishi wa Jimbo la Chwaka Mhe Issa Haji Gavu wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar ikizikutanisha timu za Majimbo yao mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bao 1--1

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.