Habari za Punde

Mkuu wa Wilaya ya kusini Unguja aendela na ziara yake mji wa Sundsvall nchini Sweden

Mheshimiwa mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Idrissa Kitwana na ujumbe wake wa watu 10 akipata maelezo kuhusu mji wa  Sundsvall ambao  miaka zaidi ya 100 iliyopita ulikuwa mji wa nyumba za mbao.
Mkuu wa wilaya ya Kusini Unguja na ujumbe wake katikati ya mji wa Sundsvall
Mhe Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja, Idrissa Kitwana akipata maelezo ya Maktaba ya Manispaliti ya Sundsvall kutoka kwa Bi. Christin Strömberg.
Mhe mwakilishi wa Mwanakwerekwe ndugu Abdalla Ali Kombo, miongoni mwa waasisi wa uhusiano Kati ya Sundsvall Manispaliti na wadi ya Makunduchi, akiangalia mashine inayotumika kuingiza chaji kwa gari zinazotumia umeme ili kulinda mazingira yasichafuliwe na gesi chafu inayotokana na utumizi wa mafuta

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.