Habari za Punde

Rais Dk Shein akutana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa Ikulu


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa mara alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,akiwa katika ziara ya siku mbili na ujumbe aliofuatana nao,[Picha na Ikulu.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa (wa tatu kulia) mara alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni akiwa katika ziara ya siku mbili na ujumbe wake,[Picha na Ikulu.] 03/10/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa (kushoto) mara alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni akiwa Nchini kwa ziara ya siku mbili na  ujumbe wake,[Picha na Ikulu.] 03/10/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni akiwa katika ziara ya siku mbili pamoja na ujumbe wake,[Picha na Ikulu.] 03/10/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiagana   na mgeni wake  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni akiwa katika ziara ya siku mbili pamoja na ujumbe wake,[Picha na Ikulu.] 03/10/2016.

,

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.