MATANGAZO MADOGO MADOGO

Thursday, October 6, 2016

Ziara ya ujumbe wa Benki ya dunia shehia ya Ndagoni Pemba

 Sehemu ya tuta la kuzuia maji chumvi huko Ndagoni
 Ujumbe wa Benki ya Dunia ukikagua mradi wa tuta la kuzuia maji chumvi huko shehia ya Ndagoni kisiwani Pemba. Mradi huu uko chini ya Tasaf
  Ujumbe wa Benki ya Dunia ukipata maelezo juu ya mradi wa tuta la kuzuia maji chumvi huko Ndagoni
Baadhi ya miti ya mikoko iliyopandwa

Picha zote na Haji Nassor Pemba