Habari za Punde

Breking News Dk Shein Asaini Mswada wa Sheria ya Utafutaji na Uchimbaji wa Mafuta na Gesi Asilia Zanzibar.


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisaini Mswada  wa Sheria ya Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo. na kuhudhuriwa na Viongozi wa Serikali na Vyama vya Siasa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akionesha Hati ya Mswada baada ya kutia saini rasmin Ikulu leo, kwa Viongozi waliohudhuria Hafla hiyo ya utiaji wa saini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, asubuhi amesaini Sheria ya Utafutaji na Uchimbaji wa Mafuta na Gesi Asilia Zanzibar. katika hafla hiyo iliofanyika Ikulu Zanzibar na kuhudhuriwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Goerg Masaju, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe Said Hassan Said na Viongozi wa Serikali ya Zanzibar na Viongozi wa Vyama vya Siasa. Ikulu. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.