Habari za Punde

Hafla ya kuwazawadia wanafunzi waliopasi mchepuo skuli ya Michakaeni

 Mwenyekiti wa Skuli ya Michakaeni A, Nassor Harith, akimuonesha maeneo ya Skuli ya Michakaeni, Mkuu wa Wilaya ya  Chake Chake Pemba, Salama Mbarouk Khatib, wakati alipokuwa na hafla ya kuwazawadia Wananfunzi wa Skuli hiyo waliopasi Michepuo mwaka jana.

 Baadhi ya waalikwa wa hafla hiyo , wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Salama Mbarouk Khatib, akitowa nasaha kwa Wazazi na wanafunzi wa Skuli hiyo.Baadhi ya waalikwa wa hafla hiyo , wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Salama Mb rouk Khatib, akitowa nasaha kwa
Wazazi na wanafunzi wa Skuli hiyo.
 Mwalimu wa Skuli ya Michakaeni , akisoma risala kwa mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Salama Mbarouk Khatib, wakati wa hafla ya kuwazawadia wanafunzi waliopasi michuo mwaka uliopita.
Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Michakaeni  Msingi B, Suleiman Abeid Othman,akieleza machache kabla ya kumkaribisha Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba , kutowa nsaha zake kwa Wazazi na Wanafunzi wa Skuli
hiyo. Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Salama Mbarouk Khatib, akitowa nasaha kwa wanafunzi waliopasi Michepuo kutoka Skuli ya Michakaeni B, mwaka uliopita ambao ni wanafunzi 36.
 Kaimu Mwenyekiti wa Skuli ya Michakaeni Msingi B,Habibu Saleh Sultan, akitowa nasaha zake kwa Wanafunzi waliopasi Michepuo kutoka Skuli ya Michakaeni B, na kutowa maelezo ya Skuli hiyo kwa Mkuu wa Wilaya ya
Chake Chake , Salama Mbarouk Khatib huko katika hafla iliofanyika Skulini hapo.
 Baadhi ya wanafunzi waliopasi Michepuo katika Skuli mbali mbali Kisiwani Pemba , kutoka Skuli ya Michakaeni B, wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Salama Mbarouk Khatib, akiwapa nasaha zake huko waliko katika kutafuta Elimu kwa maisha yao ya baadae.
 Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Salama Mbarouk Khatib, akitowa nasaha kwa wanafunzi waliopasi Michepuo kutoka Skuli ya Michakaeni B,mwaka uliopita ambao ni wanafunzi 36

Picha na Bakar Mussa-Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.