Habari za Punde

Wanafunzi wa Kidatu cha Nne Zanzibar Wajumuika Katika Mitihani Yao ya Taifa Tanzania.

Mwanafunzi wa Kidatu cha Nne Skuli ya Haile Sellasie Zanzibar,mwenye mahitaji maalum akiwa katika chumba cha mitihani katika akifanya mtihani wake kwa kutumia mashine maalumu akijibia maswali ya mtihani wake wa somo la Kingereza akijumuika na Wanafunzi wezake Tanzania katika mitihani yao ya Taifa ya Kidatu cha Nne.
Mwanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Haile Sellasie mwenye mahitaji maalum akijumuika na wanafunzi wekake kufanya mitihani yao ya Taifa ya Kidatu cha Nne.
Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Haile wakiwa katika chumba cha mitihano wakifanya Mtihani wao wa Taifa wa somo la Kingereza. 
Msimamizi wa Mitihani katika Skuli ya Haile  akisimamia mitihani hiyo kwa Wanafunzi wa Kidatu cha Nne katika skuli hiyo.
Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Wanawake ya Ben Bella wakiwa katika chumba cha mitihani wakifanya mtihani wao wa Taifa wa Kidatru cha Nne wa Somo la Kiswahili 
Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Wanawake ya Ben Bella wakiwa katika chumba cha mitihani wakifanya mtihani wao wa Taifa wa Kidatru cha Nne wa Somo la Kiswahili 
Baadhi ya mikoba ya Watahiniwa wa Kidatu cha Nne Skuli ya Ben Bella ikiwa katika darasa maalum ikiwa imehifadhiwa.
Wanafunzi wa Kujitegemea wakifanya mitihani yao ya kurudia katika Kituo cha Mitihani cha Skuli ya Ben Bella wakifanya somo la Kingereza.ya Kidatu cha Nne. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.