Habari za Punde

Kanisa la Angilikan Mkunazini Zanzibar Laaza Ibada ya Krismas kwa Maandamano Maalum Yakiongozwa mna Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Zanzibar Micheal Hafidh.

Askofo Mkuu wa Dayosisi ya Kanisa la Angilikana Mkunazini Zanzibar Askofu Micheal Hafidh akiongoza maandamano maalum yalioandaliwa kwa ajili ya Ibada ya Krismas na waumini wa Kanisa hilo Zanzibar kuadhimisha Siku ya Kuzaliwa Yesu Kristo.
Watumishi wa Kanisa la Angilikan Zanzibar wakiongoza maandamano hayo maalum ya Ibada ya Krismas iliofanyika leo Zanzibar.  
Waumini wakiwa katika maandamano hayo wakielekea katika ukumbi wa Ibada wa Kanisa la Mkunazini Zanzibar kushiriki katika Ibada ya Krismas kuungana na Waumine wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo kuadhimisha kuzaliwa kwa Yesu Kristo.  


Kikundi cha Kwaya kikiimba wakati wa Ibada hiyo ya Krisman. 
Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Angilikan Mkunazini Zanzibar Askwaumini wa Kanisa hilo wakati akiingia kwa ajili ya kuongoza Ibada ya Krismas 
Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Zanzibar Askofu Micheal Hafidh akielekea katika sehemu yake ya kuongozea Ibada Maalum ya Krismas leo asubuhi katika kanisa hilo mkunazini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.