Habari za Punde

Mashamba yaathirika kwa kuingia maji ya chumvi Tundauwa

 Baadhi ya Wakulima wa Bonde la Malindi Tundauwa , wakimuonesha Mwandishi wa habari wa Zanzibar leo ,athari ya uharibifu wa  mazingira uliofanywa na Wananchi wanaochukuwa mchanga katika mashamba ya kilimo cha mpunga na kusababisha mashamba hayo kuingiwa na maji Chumvi

 Baadhi ya Mashamba hayo yalivoathirika na kuingiwa na chumvi na kushindwa kutumika tena kwa kilimo huko katika bonde la malindi Tundauwa Pemba.

Picha na Habiba Zarali-Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.