Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na Makamu Mwenyekiti wa (CCM
Zanzibar) Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, Katibu Mkuu Abdulrahman
Kinana pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Philip Mangula kabla ya
kuanza kikao hicho jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Kinana
akitoa hotuba yake kabla ya kuanza kwa kikao hicho cha NEC jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Wajumbe
wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC kabla ya kufungua rasmi Kikao hicho jijini Dar
es Salaam.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Wajumbe
wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC kabla ya kufungua rasmi Kikao hicho jijini Dar
es Salaam.
Sehemu
ya Wajumbe waliohudhuria kikao hicho cha NEC jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Wajumbe waliohudhuria kikao hicho cha NEC wakifatilia kwa makini Hotuba
iliyokuwa ikitolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John
Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Sehemu
ya Wajumbe waliohudhuria kikao hicho cha NEC jijini Dar es Salaam.(Picha na Ikulu )
No comments:
Post a Comment