Habari za Punde

Kilele cha Bonanza la mazoezi ya viungo leo


 Wanakikundi cha Mazizini Beach Exercise Group ni miongoni mwa Vikundi mbali mbali vya vilivyoshiriki katika kilele cha Bonanza la mazoezi ya Viungo  yaliyofanyika leo kuanzia Viwanja vya Tumbaku na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,yaliyowasirikisha Vikundi mbali mbali Unguja na Pemba,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) [Picha na Ikulu.]01/01/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwaongoza Viongozi mbali mbali katika kilele cha Bonanza la mazoezi ya Viungo  yaliyofanyika leo kuanzia Viwanja vya Tumbaku na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,yaliyowasirikisha Vikundi mbali mbali Unguja na Pemba,[Picha na Ikulu.]01/01/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wanamichezo wa Vikundi mbali mbali wakati alipokuwa akipokea maandamano ya vikundi hivyo katika Kilele cha Bonanza la mazoezi ya Viungo  yaliyofanyika leo kuanzia Viwanja vya Tumbaku na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]01/01/2017.
 Wanamichezo wakifanya mazoezi katika Uwanja wa Amaani Studium Mjini Unguja leo mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa Kilele cha Bonanza la mazoezi ya Viungo  yaliyofanyika leo kuanzia Viwanja vya Tumbaku na kumalizia Uwanjani hapo,ambapo kuna ujumbe usemamao "Afya ni Uhai Popote Ulipo Fanya Mazoezi",[Picha na Ikulu.]01/01/2017.
 Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Balozi Sei Ali Iddi akimkabidhi Cheti cha Uchangiaji Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Mhe,Idrisa Kitwana  Mustafa  wakati wa Kilele cha Bonanza la Mazoezi ya Viungo lililoanzia  Viwanja vya Tumbaku na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) [Picha na Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) akimkabidhi Cheti Nd,Charles Malima kutoka Tanzania Bara katika kundi la TEJA wakati wa Kilele cha Bonanza la Mazoezi ya Viungo lililoanzia  Viwanja vya Tumbaku na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]01/01/2017.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimkabidhi Cheti Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Bi.Sharifa Khamis (Sherry)  wakati wa Kilele cha Bonanza la Mazoezi ya Viungo lililoanzia  Viwanja vya Tumbaku na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]01/01/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea cheti maalum kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha  Mchezo wa Mazoezi ya Viungo Zanzibar (ZABESA) Mohd Zidi wakati wa Kilele cha Bonanza la Mazoezi ya Viungo lililoanzia  Viwanja vya Tumbaku na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]01/01/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.