Habari za Punde

Shamrashamra za Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 53 ya Mapinduzi Yaliojiri Uwanja wa Amaan.j

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayuob Mohammed Mahmoud. na Meya wa Manispa ya Zanzibar Mstahiki Meya Khatib Abdurahaman, wakiwa katika uwanja wa amaan kusubiri kupokea wageni waalikwa wanaohudhuria maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliofanyika kilele chake katika viwanja vya Amaan Zanzibar 12-1-2017. na Kuhutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein. 

Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wakiwa katika viwanja vya Amaan wakipokea wageni waalikwa kuhudhuria sherehe hizo. 


















No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.