Habari za Punde

Waziri Issa Gavu Azungumza na Wanahabari Kuhusu Nishani Maalum za Mapinduzi.

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi (Gavu) alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi leo hapo Ikulu Mjini Unguja,wakiwepo na watendaji wa wengine kuhusu Nishani mbali mbali zilizotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Shein,zikiwemo Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi wenyesifa za Kipekee,Makundi ya Wananchi wenye Sifa Maalum,Watumishi wa Serikali,Mahakama na Baraza la Wawakilishi,Watumishi wa Idara maalum wakiwemo  KZU,KMKM,Mafunzo na Watumishi walioshiriki Uokoaji wa maisha ya wananchi waliopatwa  na maradhi ya Kipindupindu,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.