Habari za Punde

Kaskazi anavuma lakini wavuvi wanaendelea na shughuli zao


Licha ya Upepo kuwa mkali katika kipindi cha Wiki hii, lakini bado wavuvi wanaendelea na shughuli zao za kimaisha, pichani wavuvi wakitengeneza nyavu yao ili kwenda bahari kujitafutia riziki.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.