SHIRIKA la nyumba Zanzibar Tawi la Ofisi ya Pemba,
lipo katika mikakati ya kuhakikisha nyumba za Maendeleo zinakuwa safi kama
zilivyoachwa na Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, pichani Vijana wakiondoa
uchafu uliotuwama katika nyumba za Maendeleo Madungu Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA).

IPO haja kwa
Serikali kuzifikiria kwa kina na kuzirudisha katika hadi yake nyumba za
Maendeleo Kengeja, Pichani baadhi ya nyumba zikiwa zimeharibika Vibaya na
nyengine kuota miti juu katika nyumba hizo, ili ziweze kuendena na lengo la
Marehemu Mzee Karume.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN,PEMBA)
No comments:
Post a Comment