MSHAMBULIAJI wa Timu ya Mwenge Haji Rashid Hamad
akitafuta mbinu za kumpita mlinzi wa Timu ya Kizimbani Hussein Rashid, wakati
wa mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar, mchezo uliopigwa uwanja wa FFU Finya Mwenge
kushinda goli 1-0.(Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA).
MCHEZAJI wa Timu ya Kizimbani Ali Suleiman Kombo,
akidhibitiwa na Mchezaji wa Timu ya Mwenge Issa Kassim, wakati wa mchezo wa
ligi kuu ya Zanzibar, mchezo uliopigwa uwanja wa FFU Finya Mwenge kushinda goli
1-0.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA).
No comments:
Post a Comment